>  Term: neno ukuta (noun, Elimu, Teaching)
neno ukuta (noun, Elimu, Teaching)

Ni mkusanyiko wa maneno yaliyochaguliwa, kuwekwa na kupangwa kwenye ukuta katika orodha au vikundi ili kuwezesha wanafunzi kuwa na mazoea kwa maneno ya kawaida.

0 0

작성자

  • ogongo3
  • (Nairobi, Kenya)

  •  (Silver) 590 포인트
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.