>  Term: ufunguo wa msingi
ufunguo wa msingi

Katika mahusiano ya hifadhidata, sifa katika chombo inayobainisha kipekee mistari ya taasisi hiyo. Kwa mfano, chombo Mwajiriwa kinaweza kuwa na sifa empID ambayo inabainisha kipekee kila mfanyakazi.

0 0

작성자

  • Ann Njagi
  •  (Gold) 2927 포인트
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.