홈 > Term: motisha ya ki-mkutadha
motisha ya ki-mkutadha
Ni jaribio la kuwapa wanafunzi mandhari ambapo wanatiwa motisha kusoma; inaweza kuafikiwa kwa njia mbali mbali kama vile kuwahimiza wanafunzi kuwajibikia kusoma kwao, kuhusishwa katika kuteua mada za kusoma au mpangilio wa vipindi.
- 품사: noun
- 분야/도메인: 교육
- 카테고리: 교수
- Company: Teachnology
0
작성자
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)