>  Term: matriki
matriki

mkusanyiko wa namaba zilizopangwa katika mraba fito. Inaweza kufikiriwa kuwa mlingano wa hesabu wa safu mbili pahi. Sana kama vipimo viwili pahi, matriki zimeundwa kwa safu mlalo na safu wima na elementi zao zikiitwa seli. Angalia pia mabadiliko ya matriki.

0 0

작성자

  • Ann Njagi
  •  (Gold) 2927 포인트
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.