>  Term: uandishi wa jarida
uandishi wa jarida

Mazoezi ya kuandika kila siku kwenye kitabu ama kwingine kwa nia ya kurekodi mawazo na uzoefu wa mtu, kuunda hadithi ama kuhifadhi rekodi zilizoandikwa za matukio.

0 0

작성자

  • Jonah Ondieki
  • (Nairobi, Kenya)

  •  (Bronze) 283 포인트
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.