홈 > Term: shughuli za nyanjani
shughuli za nyanjani
1) Shughuli za masomo zinazofanyiwa katika mandhari ya uhalisia wa maisha kinyume na ilivyo darasani 2) Mchakato wa kutafuta data inayomlazimu mtafiti kuondoka kwenye mahali pake pa msingi pa kufanyia kazi.
- 품사: noun
- 분야/도메인: 교육
- 카테고리: 교수
- Company: Teachnology
0
작성자
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)