홈 > Term: mwezeshaji
mwezeshaji
Mtu ambaye husaidia wengine katika kusoma lakini hajifanyi kuwa ndiye chanzo cha kimsingi cha elimu; mwezeshaji huwa kama mwelekezi wakati wa shughuli za mwanafunzi au kikundi cha wanafunzi.
- 품사: noun
- 분야/도메인: 교육
- 카테고리: 교수
- Company: Teachnology
0
작성자
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)