>  Term: mtaala
mtaala

Kwa mapana, inaeleweka kuwa ni masomo na mambo yanayofaa kufundishwa katika taasisi ya elimu; kimsingi huwa ni orodha ya masomo, na aidha hujumuisha tajriba za kusomwa, maarifa, na uwezo wanaotarajiwa kupata wanafunzi.

0 0

작성자

  • Jonah Ondieki
  • (Nairobi, Kenya)

  •  (Bronze) 283 포인트
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.