>  Term: sheria za jinai
sheria za jinai

Mkusanyiko wa sheria ambazo hushughulikia matendo ambayo yanachukuliwa kuwa hatari kwa masilahi ya umma na maadili, ama kwa maslahi ya taifa. Sheria ambazo si za jinai ni za kiraia

0 0

작성자

  • Jonah Ondieki
  • (Nairobi, Kenya)

  •  (Bronze) 283 포인트
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.