홈 > Term: muktadha
muktadha
Mahali ambapo kufundisha na kusoma hufanyika; kutambua muktadha kunahusisha kutilia maanani hali ya kijamii, kijiografia, kisiasa, na mambo mengine yanayohusiana na mazingira ya kusomea.
- 품사: noun
- 분야/도메인: 교육
- 카테고리: 교수
- Company: Teachnology
0
작성자
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)