>  Term: idhini ya watawaliwa
idhini ya watawaliwa

Mkubaliano wa watu wa nchi kuwa chini ya mamlaka ya serikali. Wanafalsafa wa haki za kibinadamu kama vile John Locke wanaamini kuwa serikali yoyote halali sharti ipate mamlaka yake kutoka kwa mwitikio wa wanaotawaliwa.

0 0

작성자

  • Jonah Ondieki
  • (Nairobi, Kenya)

  •  (Bronze) 283 포인트
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.