>  Term: mgombeaji
mgombeaji

Mtu ambaye anatangaza nia yake ya kutaka kuchaguliwa kwenye cheo fulani kama vile Rais, Seneta, Gavana ama Meya. Wagombeaji hutumia kampeni kuwajuza wanaomuunga mkono kwamba wanawania cheo na kuwarai watu kuwapigia kura.

0 0

작성자

  • Jonah Ondieki
  • (Nairobi, Kenya)

  •  (Bronze) 283 포인트
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.