>  Term: kampeni
kampeni

Juhudi za kuhakikisha kuwa mtu amechaguliwa kuingia afisini, haswa afisi ya kisiasa. Wagombeaji wanaopigania afisi hutumia matangazo ya kibiashara na vilevile kuonekana moja kwa moja na kutoa hotuba ili kuwafanya wachaguliwe. Mara nyingi wagombeaji huchagua msimamizi wa kampeni zao.

0 0

작성자

  • Jonah Ondieki
  • (Nairobi, Kenya)

  •  (Bronze) 283 포인트
  • 100% positive feedback
© 2025 CSOFT International, Ltd.