홈 > Term: brauza
brauza
Programu ambayo huwezesha mtu kutazama picha, matini, vibonzo, au filamu kwenye tovuti; ni ufupisho wa brauza ya tovuti. Brauza ni kama vile 'Microsoft Internet Explorer, Netscap's Navigator, na Mozilla's Firefox'.
- 품사: noun
- 분야/도메인: 교육
- 카테고리: 교수
- Company: Teachnology
0
작성자
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)